BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Sijui cha kufanya Napata ujumbe ''your video file is missing' kama inavyoonekana kwenye picha
Dah! Vipi hakuna njia ya kuzirudisha mkuu kudownload hizo tena naona inanigharimuhapo ndo inaonesha zimefutika mkuu, itabidi uzidownload
Nakubaliana nawewe maana kuna mda niliingia file manager nikagusagusa ila sikumbuki kuhusu youtube video zanguhapo kuna uwezekano mkubwa umeclear cache ya youtube ama umefuta data za memory card
tumia kifurushi cha usiku mkuu, zieke zodownload wewe lala ukiamka zitakuwa zimerudi zoteDah! Vipi hakuna njia ya kuzirudisha mkuu kudownload hizo tena naona inanigharimu
Asante sana Chief Ntafanya hivyotumia kifurushi cha usiku mkuu, zieke zodownload wewe lala ukiamka zitakuwa zimerudi zote