Jinsi ya kutengeneza Messenger App

mwasebason

Member
Jul 11, 2013
16
2
Kutengeneza Messenger App nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza messenger App ya kawaida tu
 
Appyet ni native app creator platform utaweza kutengeneza hiyo app yako
 
Ushaitumia lakn km hyo inakuzingua tumia andriod create au appsbar zitakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom