unaweza nipa link ya site japo mojaItabidi ulipie domain na hosting ambayo itakuja na uwezo wa kufungua emails ....@domainyako.com .
Hosting na domain ni service ambayo utakuwa unailipia kwa mwaka. So tafuta webhosting company yoyote kama unataka kudeal localy au checki Web Hosting - Cheap Web Hosting | Namecheap.com kama una kadi unayoweza kutumia online.
Mimi naona avatar yako tuu!Msaada wadau nahitaji kufungua email address yenye jina langu mwenye ujuzi tafadhar ninyoeshe njia. Asante
Sawa mkuu!achana nayo
Njoo pawahost.com unapata domain kwa 20000 tuunaweza nipa link ya site japo moja
Msalimie shemela mkuu!iv vitu tunatumia tu waliumbwa kwa ajiiri yetu
Link hiyo ya name cheap nimeweka, kwa bongo sizijui kampuni.unaweza nipa link ya site japo moja