Instagram haitaki kulog in

Mathias1981

Member
Jul 10, 2011
69
19
Wakuu habari zenu?sorry natatizo ktk application iyo(instagram) tangu jana najaribu kulog in haitak kabisaa na anuani ni ile ile hata neno siri pia ni lile,imegoma jana hadi leo hii,upande wa network iko sawa kabisa na hata bundle pia,ila sasa sijui shida ilipo,please kwa anaefahamu msaada tafadhari!
Screenshot_2017-01-30-19-58-29.png
 
Unatakiwa ubonyeze hapo chini palipoandikwa:

Already have an account?Log in.

Kisha ndo uandike user name na password.
 
Back
Top Bottom