Wadau wa jf, ni katika project ambazo mwaka huu itakuwa mwendelezo wa kutekeleza, nimefanya uchunguzi na kugundua bado tz hatuna vitovu vya ubunifu vya kutosha, sasa, mwaka 2017 ninataka kuanza na...
Habari wakuu, kuna hii network plan nataka kuitumia nyumbani ila nahitaji msaada wenu jinsi ya kufanya configurations
Vifaa nilivyonavyo
Router: zxv10 w300 (old router with RJ11 internet port)...
Habari zenu jamani.....natumia tecno 3+ laini mbili hivyo naombeni msaada wenu wa kutoa unlock code kwa upande wa laini ya pili iweze kusoma 3G...kwa upande wa intaneti.
Nataka kutengeneza interface au form ambayo user akiingiza jina mfano jina la mtu basi apate taarifa au data zinazo husiana na uyo mtu yani iwe ya ku search items sasa nimekwama sitaki kutumia php...
Bila shaka wanajamii ni wazima mkiendelea kuimalizia weekend pamoja na changamoto mbalimbali tunazopitia.
Ni muda sasa simu yangu haiwezi ku-download au ku-update application yoyote lakini naweza...
Pc yangu aina ya acer aspire E 13 inatumia window 1pnikiiwasha inawaka ikishamaliza kuload then ikimaliza kuwa ikuletee sehem ya kuweka pass word inatulia ile box ya kuweka password lakini ile...
Wakuu naombeni msaada tecno l6 inakataa kupokea cm pale ninapobonyeza kitufe cha kupokea simu na kitufe cha kukata pia hivohivo nikipokea inaniambia; unfortunately phone has stopped.
Habari wadau wa jukwaa hili. Napenda teknolojia. Lakin kwa leo nimekwama mnisaidie watalaamu najua mpo humu.
Nataka ku download activation code ya program moja hivi, lakini naambiwa hadi ni...
Ivi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.
Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.
Sijui...
karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk
napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk...
Habar za muda huu wakuu...
Leo naombeni munisaidie hili kabla ya kufungua blog nina facebook page ambayoo baada ya kufungua blog nataka kubadili jina la facebook page ili liendane na jina la blog...
Wasaalam JF
Kama nilivyo ongea hapo juu, mm kwenye Data base creation ni begginer but naijua kidogo sasa basi nahitaji kujua jinsi ya kutrasilate E/R relation model to Relation model
nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.