Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
hivi iphone ni simu yenye usalama(SECURTY) wakutosha pia imara sana kwa anaejua naomba atoe ufafanuzi
Ni simu ya kawaida tu kwenye usalama simu iliyokuwa ina usalama wa uhakika ni blackberry pekee kipindi inatumia OS yake lakini akatumia android akaingia kwenye uchafu.
Iphone icloud isikutishe hata mimi nikitulia naifungua kumbuka inahitaji kutulia ili kubreak hivi vitu.
Hv ni iPhone gan yenye projectaAcha kumtishia huwezi kwa iclould labda usiiingie kabisa kwenye internet ninyi ndio mnaokamatwa kirahisi na simu za wizi za iphone
So, wewe unaamini ukitumia iphone data zako ziko salama 100%?Acha kumtishia huwezi kwa iclould labda usiiingie kabisa kwenye internet ninyi ndio mnaokamatwa kirahisi na simu za wizi za iphone
So, wewe unaamini ukitumia iphone data zako ziko salama 100%?
Eleza hapa features zake zinazofanya iphone iwe na usalama wa data za mtumiaji kwa 100%.Yes tena na zaidi
Hata uki update mkuu njia salama ya kutunza data zako ni analogy tu kutumia pepa na kutunza data zako physically.Kwenye watumiajia wa ios ikiwemo iphone usalama ni mzuri japo si asilimia 100 ndio maana kuna apdates za ios mara kwa mara ili kukufanya uwe salama unaweza ukawa na iphone na usi update simu yako kwa muda kwa kutokujua kuna watu kazi yao ni kupiga na kupokea simu na kutuma ujumbe na kujibu tu na kuperuzi internet ila ku apdate asiweze huyo anakuwa si salama
Yap ni zile bb matoleo ya zamani bold, curve nk lakini sikuhizi wameshashindwa kutunza data kwa usalama, wameshapoteza hii sifa.nyie watanzania mna data gani mnataka kuzifichwa bwanaaa. accoun zenu huko benki zina kiasi gani tuanzie hapo.
ila simu ambayo haiwezi kudukuliwa ni black berry tu basi
Nimeomba jamaa hapo juu alete hapa nini kinafanya iphone iwe ni bora zaidi kwenye usalama wa data kwa 100% kama anavyodai namsubiri kama atarudi tuone.Iphone mbona wanazisifia sana maana sifa zote zero