Hello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo hzo,naombeni msaada mwenye uelewa
fanya updates nenda settingHello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo hzo,naombeni msaada mwenye uelewa
Umekilipia!?Hello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo hzo,naombeni msaada mwenye uelewa