Muongozo: Programming Language

Muongozo: Programming Language

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,164
->Je Programming Language ni nini ?

Kama hauna idea kuhusu maana halisi ya Programming Language basi ACHA usijifunze.

->Je nianze kujifunza Programming Language ipi ?

Hii inategemeana na wewe unataka kuutumia vipi ujuzi utakao upata kupitia Programming Language .
Utachagua kuanza na language flani kupitia ushauri utakaoupata kupitia sehemu mbali mbali, ikiwemo humu, ambapo utashauriwa kutokana na wewe lengo lako ni nini.

Ukiona bado haujielewi elewi,
basi angalia mazingira uliyopo utapata msaada gani kwamfano nikianza na PHP basi ntapa msaada kutoka kwa X anaishi nyumba flani.

kama unataka ujifunze kupitia kituo flani, basi ni vizuri ukaomba ushauri hapo utakapoenda kujifunzia, kwani sidhani kama watakwambia uanze na C++ kwasabu ni bei kuliko PHP hapana you've to Note "Were Programmers, we wants you n not your moneys, expect us"

-> Je programming language ipi ni Bora ?

Hakuna language inayozidi nyingine.. Kila language inafit kulingana na kusudio flani.

-> Je natakiwa kujua sana Hesabu ili nisome Programming ?

Sio lazima ila ni muhimu, kwasabu baadhi fields zinahitaji hesabu sana.. Kwamfano Cryptography ku
analyse algorithms n.k

-> Je itanichukua muda gani kuweza Programming Language flani ?

Hii inategemeana na juhudi unazowekeza katika kujifunza Programming Language, na kwa mtu unaenza itakuchukua mda mwingi kidogo kuliko yule ambae alishajifunza Programming Language flani, unae anza itakubidi utumie muda mwingi googling some problems na kuuliza kwenye forums Baadhi ya errors unazozipata n.k

-> Je nitumie IDE au text editors ?

Tumia chochote unachokipenda lakini ni vizuri ukajua kutumia bila IDE.

-> Je nianze na Programming Language ipi ili nifuatie na Language "X"

Anza na hiyo hiyo programming language "X"

-> Je nisome programming language ipi baada yakusoma "X"

Nionavyo mimi ni bora zaidi kusoma Language nyingine ambayo ni tofauti na ile uliyojifunza mwanzo in some aspects.

-> Nimesoma Programming language A,B,C na D je nifuatie na ipi ?

Kama kweli umesoma hizo Programming language zote A,B,C na D alafu bado unajiuliza swali kama hili, basi hujasoma kitu.

->Je nitumie njia gani kusoma Programming Language ?

Haijalishi kama utafundishwa personally or class na mtu au utajifunza online na kupitia vitabu, e-books na videos, lakini vitabu, ebooks and videos are not enough majaribio ndo kitu cha msingi sana.

-> Je nisome Programming Language ngapi ?

Sio lazima kusoma nyingi, soma baadhi ila uzimudu vizuri na pia kumbuka kujifunza Programming na sio Language.

NOTE: kujifunza programming language sio kama unavyojifunza baiskeli na baadae kujiita ukijua ndo umejua.
Kujifunza programming ni sawa na kujifunza kuendesha ndege, ni lazima ukae kwanza Darasani upate theory na baade ukajifunze ukiwa ndani ya ndege kwa kuirusha angani.

Hivyo basi utaweza vizuri programming kama utafanya kile unajochojifunza.
"jifunze kuchora sio kutumia penseli"

Ukiona kuna swali linakutatiza na halijaulizwa hapa/una kitu cha kuongezea uliza... Wakukusaidia wapo wengi....

Sorry for language code-mix

snipa
 
angalau hii kidogo itapunguza yale maswali language gani nianze nayo. Ikibidi hii post iwe kwenye sticky
 
Once upon a time.... way back in history beginners did BASIC, a strictly procedural approach. Not anymore OOP be it C++, JAVA. rules.
 
Profession yangu imenilazimu kufanya some programs za mahesabu kama fortran, matlab na perl pia huwa nafanya unix programing za csh na sh lakini sina cheti cha kunithibitisha kama mimi ni mmoja wa programmers je ni chuo gani hapo dar ninaweza kusoma programming languages hizo hapo juu pamoja na languages zenu hizo sa kisasa kama java php nk ili nipate cheti cha professional programmer?
 
Pitia uzi huu apa mkuu.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...oftware-development-software-programming.html
 
->Je Programming Language ni nini ?

Kama hauna idea kuhusu maana halisi ya Programming Language basi ACHA usijifunze.

->Je nianze kujifunza Programming Language ipi ?

Hii inategemeana na wewe unataka kuutumia vipi ujuzi utakao upata kupitia Programming Language .
Utachagua kuanza na language flani kupitia ushauri utakaoupata kupitia sehemu mbali mbali, ikiwemo humu, ambapo utashauriwa kutokana na wewe lengo lako ni nini.

Ukiona bado haujielewi elewi,
basi angalia mazingira uliyopo utapata msaada gani kwamfano nikianza na PHP basi ntapa msaada kutoka kwa X anaishi nyumba flani.

kama unataka ujifunze kupitia kituo flani, basi ni vizuri ukaomba ushauri hapo utakapoenda kujifunzia, kwani sidhani kama watakwambia uanze na C++ kwasabu ni bei kuliko PHP hapana you've to Note "Were Programmers, we wants you n not your moneys, expect us"

-> Je programming language ipi ni Bora ?

Hakuna language inayozidi nyingine.. Kila language inafit kulingana na kusudio flani.

-> Je natakiwa kujua sana Hesabu ili nisome Programming ?

Sio lazima ila ni muhimu, kwasabu baadhi fields zinahitaji hesabu sana.. Kwamfano Cryptography ku
analyse algorithms n.k

-> Je itanichukua muda gani kuweza Programming Language flani ?

Hii inategemeana na juhudi unazowekeza katika kujifunza Programming Language, na kwa mtu unaenza itakuchukua mda mwingi kidogo kuliko yule ambae alishajifunza Programming Language flani, unae anza itakubidi utumie muda mwingi googling some problems na kuuliza kwenye forums Baadhi ya errors unazozipata n.k

-> Je nitumie IDE au text editors ?

Tumia chochote unachokipenda lakini ni vizuri ukajua kutumia bila IDE.

-> Je nianze na Programming Language ipi ili nifuatie na Language "X"

Anza na hiyo hiyo programming language "X"

-> Je nisome programming language ipi baada yakusoma "X"

Nionavyo mimi ni bora zaidi kusoma Language nyingine ambayo ni tofauti na ile uliyojifunza mwanzo in some aspects.

-> Nimesoma Programming language A,B,C na D je nifuatie na ipi ?

Kama kweli umesoma hizo Programming language zote A,B,C na D alafu bado unajiuliza swali kama hili, basi hujasoma kitu.

->Je nitumie njia gani kusoma Programming Language ?

Haijalishi kama utafundishwa personally or class na mtu au utajifunza online na kupitia vitabu, e-books na videos, lakini vitabu, ebooks and videos are not enough majaribio ndo kitu cha msingi sana.

-> Je nisome Programming Language ngapi ?

Sio lazima kusoma nyingi, soma baadhi ila uzimudu vizuri na pia kumbuka kujifunza Programming na sio Language.

NOTE: kujifunza programming language sio kama unavyojifunza baiskeli na baadae kujiita ukijua ndo umejua.
Kujifunza programming ni sawa na kujifunza kuendesha ndege, ni lazima ukae kwanza Darasani upate theory na baade ukajifunze ukiwa ndani ya ndege kwa kuirusha angani.

Hivyo basi utaweza vizuri programming kama utafanya kile unajochojifunza.
"jifunze kuchora sio kutumia penseli"

Ukiona kuna swali linakutatiza na halijaulizwa hapa/una kitu cha kuongezea uliza... Wakukusaidia wapo wengi....

Sorry for language code-mix

snipa

mkuu mm ni fundi umeme wa magari so nahitaji sana kujifunza hayo makitu kwa kuongeza zaidi ujuzi wangu sababu kuna kazi nyingi sana zinahitaji kuprogram sasa hivi kwa haya magari ya kisasa.
je ni kipi natakiwa kuanza nacho sababu nimweupe kabisa
 
Automobile hizo zina involve sana C++, C, na assembly.
unaweza anza na C.
 
Na je mimi wa electronics and Telecommunication nianze ipi?

hiyo hiyo C, ni nzuri kwa embedded systems, ukisha malizana nayo hata kuhamia language kama C++ itakuwa rahisi tu.
 
Profession yangu imenilazimu kufanya some programs za mahesabu kama fortran, matlab na perl pia huwa nafanya unix programing za csh na sh lakini sina cheti cha kunithibitisha kama mimi ni mmoja wa programmers je ni chuo gani hapo dar ninaweza kusoma programming languages hizo hapo juu pamoja na languages zenu hizo sa kisasa kama java php nk ili nipate cheti cha professional programmer?

Kwanini unahitaji cheti cha kuwa huyo uliyemuita professional programmer kama wewe tayari una uzoefu na objective oriented programming kama vile fortran?
Kwa maana nijuavyo mimi fortran hutumiwa zaidi na wana hisabaiti na physicists hivyo kama wewe ni mmoja kati ya hawa hauhitaji cheti cha kukuonyesha kwamba wewe ni programmer kwa maana ile kuwa Mathematician au Physicist peke yake inatosha kwa maana fortran/python/C ni sehemu ya mtaala!
 
Ningekutana na mada kama hii wakati naanza programming, ingenifaidi sana maana nilitapatapa sana na kujifunza lugha nyingi, sasa kwenye maisha yangu ya programming huwa hata situmii zaidi ya lugha nne. Ni bora mtu ukachagua lugha mbili ambazo zinasaidiana (complementing each other) halafu komaa nazo kabisa tena kwa passion ya ndani.
 
mkuu snipa nataka kujifunza php je nahitaji background ya languages zipi
 
Last edited by a moderator:

Lugha yeyote unaweza jifunza bila kuwa na background ya language yeyote, ni wewe tu na kichwa chako.
 
Last edited by a moderator:
mkuu snipa nataka kujifunza php je nahitaji background ya languages zipi

Sio lazima uwe na background yeyote. Cha msingi unatakiwa ujitahidi kuelewa structure na basic features za php then utaweza kuelewa zaid kadili unavyoendelea kujifunza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom