Website nzuri za Free Apps & Games

Mr_X

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,170
2,338
Aseee kuna huyu dada anaitwa fatma ana website tatu nazozifahamu

1: Ocean of games; hii ni kwa ajiri ya kila aina ya game na crack zake

2: get into pc; hii ni kwa ajiri ya app yoyote unayoitaji ipo free Kabisa

3; Ocean of apk; hii ni kwa ajiri ya android apps na games + obb ambazo zipo premium kabisa

Note
Games na apps zote zina video ya jinsi ya kuinstall correct bila ya kupata error yeyeto wakati wa ku open na kuna sehemu ya comment section ambayo anajibu maswali ya watu wanaopata matatizo na game yeyeto

Hizi ni websites nilizokutana nazo na kuzikubari sana kwenye mambo ya free softwares una weza add ya kwako ili tujuzane zaidi
Ahsante Fatma kwa kazi nzuri
 
Back
Top Bottom