Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu naombeni msaada duka ninaloweza kupata movies za crusade stories na nyinginezo ambazo in original hapa jijin dar
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Nilikuwa naomba msaada kwa anefahamu njinsi ya kufunga cd aw dvd kwani same time unaweza ukawa umepewa cd aw dvd ukiitia kwenye computer huwa ina display moja kwa moja ila kile kilichokuwepo...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wakuu naombeni msaada simu yangu inaleta hii Notification kila muda na mpaka imekuwa kero, however natumia Lenovo Xvibe 960 ~Cmb
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aseee naomba msaada jinsi ya kusave documents kwenye email such photos and others
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naombeni anayefahamu anijuze ni wapi wanauza SIGNAL FINDER kwa ajili ya kufungia madish hapa jijini dar es salaam na bei yake kama inafahamika ... asanteni
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye set up ya programs za ku crack adobe photoshop anisaidie, au km analink atume humu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wale ambao co mashabiki wa Steve Jobs na iPhone kuna njia rahisi ya ku crash na kuzima simu ya mtu mwenye iphone. Fungua iPhone yako nenda iMessage alf mtumie hyo mlengwa emoji ya white...
0 Reactions
3 Replies
751 Views
kuna hii sms inakuja kwenye Sms kama nafanya kitu halafu programe husika inajifuta na kunibd kuanza upya tena nimejitaidi kutafuta suluhisho ila nimeshindwa.Naomba Msaada jinsi ya kuiondoa wapendwa.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Jamani mimi nipo kwenye course ya kujifunza computer. Naomba msaada. How to assign/ create a field key in first table to be a foreign key in second table so as can lead to...
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Naomba msaada wakupata keys za kureset epson printer, mana nomejitahid nimeshindwa, msaada tafadhar
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Na hapo nipo chang'ombe je nikiwa kisukulu ndan ndan huko itakuwaje BTW anaejua APN za Halotel hanisaidie tafadhali[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba msaada kama kuna mtu anajua namna ya kudownload android paid apps for free. Naomba njia nyingine ila isiwe Blackmart.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza Msaada shida itakuwa ni nini?
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Habari wana jamvini, Polen na mihangaiko ya hapa na pale katika nchi hii ya mtukufu magu. Msaada jaman, nashindwa kuingia kwenye playstore kwasabu kila nikitaka kuingia inanambia niingize redeem...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Naombeni ushauri juu ya kujailbreak ps3, nimegoogle nikaona steps lakini nikasema nije kwenye jukwaa niombe na ushauri nisije ua ps yangu.....
1 Reactions
1 Replies
844 Views
Nimeibiwa simu aina ya Nokia Lumia, nimewai sikia kuna mahala katika mitandao ya simu watu huwa wanapeleka IMEI na pia simu inatafutwa nakuonekana au kama ni kuilock.
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Nimepewa flash ila imewekwa lock, yaani siwezi kufuta chochote wala kupunguza, ila nawaza kuweka vitu tu na hata nikitaka kuiflash inakwambia ina lock hivyo mpaka nitoe lock ndio niweze. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,ninaomba kuuliza unapotumia laini moja ktk simu(smartphone)ambayo ni ya laini mbili je!kunakuwa na speed ktk mtandao hasa internet.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomben msaada wa kujulishwa application ya ios au namna yoyote ya kuretreve msg nilizofuta kwenye simu yangu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom