Mkuu hii yote nimefanya lakini haikubali. Naona kwa Lumia iko tofautiNenda kwenye setting then fungua hapo kwenye cellular chini utaona.
Sehemu ya username: halotel
Then kwenye Apn: internet.
Then save utakuwa umefanikiwa.
NB: Setting za internet kwa android,apple na Windows phone zinafanana kwa mitandao yote.🙂
Lumia gani mkuu unatumia?Mkuu hii yote nimefanya lakini haikubali. Naona kwa Lumia iko tofauti
Kwenye Apn: b_internet ,b-internet,v-internet tumia moja wapo..Nenda kwenye setting then fungua hapo kwenye cellular chini utaona.
Sehemu ya username: halotel
Then kwenye Apn: internet.
Then save utakuwa umefanikiwa.
NB: Setting za internet kwa android,apple na Windows phone zinafanana kwa mitandao yote.🙂
Haya fanya hivi:-Wakuu Habari zenu.
Nilirestore simu yangu sasa nimeshindwa kuweka setting za internet. Nimejaribu kadhaa bado imegoma kufanya kazi.Natumia Halotel.