Msaada msaada wa software ya kuchanganya video na inayoweza kusave kwenye PC

marveljt

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
1,503
1,479
Za asubuhi wandugu. Naombeni msaada wa software ya kuchanganya video na inayoweza kusave hiyo kazi moja kwa moja kwenye mashine.

Natanguliza shukrani
 
Za asubuhi wandugu. Naombeni msaada wa software ya kuchanganya video na inayoweza kusave hiyo kazi moja kwa moja kwenye mashine.

Natanguliza shukrani
Ipo U-Lead, winDVD Creator, Nero. Windows Movie maker ambayo ipo kwenye version za zamani za windows
 
software rahisi ni movie maker na inakuja na pc search kwenye computer yako movie maker.

kama haipo download kwenye site ya microsoft ni bure
 
Ila inategemea wataka kuchanganya video namna gani...local au in advance.....kama ni advance inabidi utumie...premiere ama zile nyingine...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom