Nenda branch yako watakupatiawakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
Hivi vitu haviitajiki nafikiri...Labda kwa nchi zinazopokea malipo na sio CRDB hii ya hapa kwetu Tanzaniawakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
Watakupatia bank au kama huwa wanakutumia info za kila muamala, itakuwa vizuri kuzipata kiurahisiwakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
Unaenda sehemu ambayo sio...Kwenye paypal kuna Link account number kwa wale wanaopokea malipo na inabidi uweke Acct No,Hizo routing number ila pia kuna ku Link Credit/Debit Card kwa kufanya manunuzi na hapa Unatia tu Card Number na sio Acct No,Unatia,Majina yako, Expiry ya Card yako na CVV(Tarakimu tatu za mwisho nyuma ya kadi)nilikuwa nataka kulink account yangu ya CRDB NA PAYPAL ndio nikakwama hapo mzee na nilazima uandike hiyo number.
Maelezo yako ni mazuri sana, asante pia nimeng'amua.Unaenda sehemu ambayo sio...Kwenye paypal kuna Link account number kwa wale wanaopokea malipo na inabidi uweke Acct No,Hizo routing number ila pia kuna ku Link Credit/Debit Card kwa kufanya manunuzi na hapa Unatia tu Card Number na sio Acct No,Unatia,Majina yako, Expiry ya Card yako na CVV(Tarakimu tatu za mwisho nyuma ya kadi)
Kwa kifupi ni kwamba unachokifanya haukielewi labda kama PayPal wamevadili utaratibu
Kuna uzi umezungumzia masuala haya yote kwa kirefu sana kabisa utafutenilikuwa nataka kulink account yangu ya CRDB NA PAYPAL ndio nikakwama hapo mzee na nilazima uandike hiyo number.
Upo sahihi mkuu. Kwa tz hakuna routing number maana hatuna huduma ya kupokea pesa kwa paypal. Ni mzoefu sana kutumia paypal huu mwaka tatu sasa, sijui hicho anachozungumza amekitoa wapi. Labda paypal wamebadili taratibuUnaenda sehemu ambayo sio...Kwenye paypal kuna Link account number kwa wale wanaopokea malipo na inabidi uweke Acct No,Hizo routing number ila pia kuna ku Link Credit/Debit Card kwa kufanya manunuzi na hapa Unatia tu Card Number na sio Acct No,Unatia,Majina yako, Expiry ya Card yako na CVV(Tarakimu tatu za mwisho nyuma ya kadi)
Kwa kifupi ni kwamba unachokifanya haukielewi labda kama PayPal wamebadili utaratibu