Msaada simu memory imejaa vitu

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Wakuu naombeni msaada simu yangu vitu vingi vimejaa ni samsung sasa nimeweka memory card kila nikitafuta sehemu ambayo nataka vitu ntakavyoweka au kudownload viende moja kwa moja kwenye memory sipaoni.
 
Ukidownload vitu vinaenda kwenye main memory ya simu sio kwenye external memory.

Kama una uwezo Ukidownload hakikisha unavihamisha kwenda kwenye extenal memory kuepuka kujaaa.

Vitu kama picha za kamera unaweza elekeza ukipiga zikakae huko
 
Back
Top Bottom