The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Wakuu Habari,
Nina listing yangu on "Google Local Business" a.k.a Google my Business but not verified. Ili uwe verified watakutumia postcard yenye code utayoingiza kwenye akaunti kuverify business ni yako.
Sasa hapo unachotakiwa kujaza kwenye fomu ni nini? Physical address, Postal Address au ni njia ipi?
Fahamu zip code kwa Bongo bdo hiyo kitu.
Mimi nilitumia sanduku langu binafsi mpka sasa ni zaidi ya mwaka sijapata. Kuna yeyote ameshafanya verification? Uliwezaje kuipata? Msaada tafadhali... Asante.