Msaada wa software ya SPSS..

Msaada wa software ya SPSS..

KIDUDU

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2012
Posts
2,558
Reaction score
1,928
Wasalaam ndugu zangu, naombeni masaada mwenye SPSS SOFTWARE anisaidie hapa, kuna kazi natakiwwa niifanye hapa nimepanic hatari, nimejaribu ku download nimeshindwa kabisa, naombeni mwenye nayo ai upload hapa niichukue maana mimi nimefeli.

Au kama kuna site ambayo naweza kuipata kiurahisi nambeni msaada. nimejaribu softonic nona maruweruwe tu.

Natanguliza shukrani

Kidudu
 
Back
Top Bottom