Simu yangu inaandika No Cellular Network

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Je tatizo ni nini, na ikishaandika hivo siwezi kupiga na wala sipatikani ila internet natumia kama kawaida.

Natumia tecno c9
 
tuma imei kwenda 15090 kisha soma ujumbe watakao kuletea huenda imefungiwa
 
Nimejibiwa
Tecno Telecom (HK) limited -C9-
If phone model is different from what you have, reolace your phone as it will be blocked
 
Nimejibiwa
Tecno Telecom (HK) limited -C9-
If phone model is different from what you have, replace your phone as it will be blocked
screenshot cm yako weka hapa na je inasema no service or emergency call only
 
Huwa mda mwingine natoa na kuweka sim card, kipindi naiweka huwa inaandika no service baadae inasema emergency calls only
 
Je tatizo ni nini, na ikishaandika hivo siwezi kupiga na wala sipatikani ila internet natumia kama kawaida.

Natumia tecno c9
Cheki IMEI yako kwa *#06# kisha cheki nyuma kwenye betri kama IMEI zinafanana...
 
Je tatizo ni nini, na ikishaandika hivo siwezi kupiga na wala sipatikani ila internet natumia kama kawaida.

Natumia tecno c9
Je tatizo ni nini, na ikishaandika hivo siwezi kupiga na wala sipatikani ila internet natumia kama kawaida.

Natumia tecno c9
tuma imei za simu yako kwenda 15090 utapata jibu sahihi imei za simu yako zinazipatikana kwa kubonyeza *#06# lete mrejesho baada ya kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom