Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,771
Baada ya simu yangu kusumbua kwa mda kwa kuzima au kugoma kila nikiingia fb, nimegundua tatizo ni kua app ya fb sa hivi new android version yake imekua 5.1, kwa hiyo kwa simu nyingi zenye chini ya 5.1 haziwezi kufunguka sababu simu inazidiwa ukubwa wa version ya fb,
Nashukuru wadau humu jukwaani kwa kunipa ushauri na jinsi ya kufanya isisumbue tena,
Nashauri wale wote ambao hawaja apdate app ya fb wasiapdate kama simu zao hazina ukubwa wa Android version 5.1
Najua hili ni janga la wengi,
Mimi nimedownload yenye version ndogo na iko poa,