Msaada: Tatizo katika Samsung Grand Prime

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,600
5,803
Habari za muda huu Wanajukwaa..

Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....

Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.

Natanguliza shukrani.

Mzee!
 
Shida imeanza lini? Kuna customization yeyote umefanya upande wa network... tuanzie hapo kwanza
 
Hii simu si yangu ni ya jamaa yangu .

Anasema tatizo lilianza baada ya kuRestore factory.
 
mkuu kwanza check imei number kwa kupiga *#06# na hapo utakutana na either imei number ambazo ni original yaani zinazofanana na zile zilizopo nyuma ya cmu yako ukitoa betri au ukutane na imei zilizo corrupt ambazo zinaanza na 00 na 49 kati ya hzo namba au ukute NULL.. halafu fungua settings>about phone>baseband na kama baseband ni unknown hyo ni tatizo. hebu angalia hayo halafu toa matokeo tuelekezane namna ya kufix
 
İME ziko sawa.....

Na ktk Baseband imeandikwa

Baseband Version
(G530HXXU1ANİJ)
 
mkuu kwanza check imei number kwa kupiga *#06# na hapo utakutana na either imei number ambazo ni original yaani zinazofanana na zile zilizopo nyuma ya cmu yako ukitoa betri au ukutane na imei zilizo corrupt ambazo zinaanza na 00 na 49 kati ya hzo namba au ukute NULL.. halafu fungua settings>about phone>baseband na kama baseband ni unknown hyo ni tatizo. hebu angalia hayo halafu toa matokeo tuelekezane namna ya kufix
 
Habari za muda huu Wanajukwaa..

Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....

Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.

Natanguliza shukrani.

Mzee!
Nunua certificate za model hiyo....hyo simu IMEI zake zmefanana na za mtu mwengine so imefungwa Na TCRA
 
chukua hizo imei namba zako then tuma kwenda 15090 ili uweze kujua kama hzo imei zako ziko blaclisted.
 
Nawezaje kununua hiyo Certificate??
cert files unanunua online, bt kuepusha usumbufu nakushauri peleka tu kwa fundi akufanyie hyo kazi kama wew cyo fundi coz baada ya kupokea hyo certificate unahtaji samsung flash box ili uweze kuandika hyo cert kwenye cmu yako.. i.e z3x,bsg,octopus
 
Kaka naomba unisaidie cm hii inalock from Zambia
b176267d0c017fd7753d5dc446b0bca9.jpg
 
Habari za muda huu Wanajukwaa..

Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....

Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.

Natanguliza shukrani.

Mzee!
Hapo tatizo lipo kwenye laini.

Mimi mwenyewe nina laini yangu iliyo blokiwa nikiiweka inasema hvyohvyo..

Hapo tatizo halipo kwenye simu
 
suala la emergency kwenye samsung ni kawaida sana baada ya efs partition ku corrupt kwahyo naamini c shida ya line bt ili kujiridhisha hebu nwenye hyo grand aweje sim card nyingine kwa hyo cmu au hyo sim card aiweke kwenye cmh nyingine
 
1.Kuwa sawa kwa imei na simu nyingine haiwezi kufunguwa kamwe maana mie natumia simu haukulipiwa ushuru ikafungiwa na nimeiwekea imei za simu ya tecno na ninaitumia safi tu.
2.badili laini zingine uone je nertwok inapanda?
3.ikigoma i-ristall simu na kisha jaribu tena zoezi namba mbili.
ikigoma hapo kwa kuwa hauna kifaa cha kupimia fanya hivi ili ujue kama ni tatizo la hardware ama software
-Download ODIN
-Download Firmware ya Simu Yako
-Download USB Driver za Samsung
-Kisha Soma Maelezo how To Use ODIN Hapo Utaweza Kuiflash Simu Yako.
4.Sasa Kama Umefanya option namba 3 Afu imegoma Basi jiandae Kama Elfu 25-35 utaenda kwa fundi kuna kifaa fullani Cha Nertwok Kinakuwa Kimekufa Na hili Ni mojawapo ya Tatizo Kubwa La Simu Za Samsung
 
Back
Top Bottom