marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Wakuu nimetumia heat sink compound ambayo picha yake ipo hapa chini..lakini ps3 bado haijaacha kuoverheat,japokuwa kuna mabadiriko tofauti na mwanzo..sasa hv haizimi nikiweka maximum fan speed..ila mm nataka iwe kawaida..
Je nimetumia heat sink compound isiyofaa kwa ps3..na kama sio nzuri je ninaweza pata wapi heat sink compound inayofaa zaidi kwa hapa dsm.
Natanguliza shukrani.
Je nimetumia heat sink compound isiyofaa kwa ps3..na kama sio nzuri je ninaweza pata wapi heat sink compound inayofaa zaidi kwa hapa dsm.
Natanguliza shukrani.