Wataalamu wa "HTML" naomba msaada

Wataalamu wa "HTML" naomba msaada

ally kitupe

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
259
Reaction score
218
Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii

<!DOCKTYPE HTML>
<html>
<body>
<p><a href="http://www.google.com/Facebook;/">click here</a>for Facebook sign up</p>
</body>
</html>

Kama kuna mistake apo nisaidieni wadau
 
tumia dreamweaver kutengenezea hiyo website na uinstall wampsaver

Hehehe usirudie kutoa ushauri aisee, nitakushauri upunguze kukariri, swali halina relationship yoyote ile na dreamweaver
 
Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii

<!DOCKTYPE HTML>
<html>
<body>
<p><a href="http://www.google.com/Facebook;/">click here</a>for Facebook sign up</p>
</body>
</html>

Kama kuna mistake apo nisaidieni wadau

Unachotaka kufanya hasa ni kipi?
Una sababu ipi ya kuweka hiyo link google.com/facebook?
Na hapo kwenye red, sio DOCKTYPE, ni DOCTYPE.
Link ipo sawa kabisa, na ukifungua inafunguka, tatizo inaleta "error" sio "era" sababu google hawana url ya hivyo. Kama ulitaka impeleke mtu facebook ungeweka facebook.com, na kama ulitaka kumfanya mtu a-sign up kwa kutumia facebook hiyo usisumbuke kuisoma sasa hivi, iko above uelewa wako, utahitaji kujua mambo mengi sana hadi uweze kuweka hiyo feature.
 
Ushauri mzuri huu, fanyia kazi kijana
 
Kaka HTML ni web markup language rahisi sana ila wewe umeandikia HTML5.Ambayo tunaanzia na declaration !DOCTYPE
<!DOCTYPE html>
<html>
<head><title>facebook sign up</title></head>
<body>
<p>
<a href="link">click here for Facebook sign up</a>
</p>
</body>
</html>
 
Hivyo ni vitu basic katika html5 vipo Vingi vya kuandika hapo juu iyo link hap juu ,kama una kompyuta ingia andika Facebook tafuta sign up page ukiipata copy hiyo link na uipaste nlipoandika link and you're done
For more problems ni -inbox
 
Unachotaka kufanya hasa ni kipi?
Una sababu ipi ya kuweka hiyo link google.com/facebook?
Na hapo kwenye red, sio DOCKTYPE, ni DOCTYPE.
Link ipo sawa kabisa, na ukifungua inafunguka, tatizo inaleta "error" sio "era" sababu google hawana url ya hivyo. Kama ulitaka impeleke mtu facebook ungeweka facebook.com, na kama ulitaka kumfanya mtu a-sign up kwa kutumia facebook hiyo usisumbuke kuisoma sasa hivi, iko above uelewa wako, utahitaji kujua mambo mengi sana hadi uweze kuweka hiyo feature.

Sorry.. Off-topic kidogo.
Mkuu nime ku PM kwenye NullPointer ? I hope nitapata majibu soon...?
 
Back
Top Bottom