Resistors hazina hasi na chanya ila diode ndiyo ina hasi na chana labada km unataka kujua jinsi ya kujua wapi uanzie kupiga mahesa ya color codesNaombeni msaada kujua hasi na chanya kwenye kifaa kinachoitwa resistor na kujua utofauti wa Ohms tafadhali
Resistor converts electrical energy into heat by doing so it reduces currentResistor haina hasi wala chanya ila ends mbili zilizo sawa na kazi yake ni kupunguza electrical voltage, kubadili signals, Kufanya transmission.
Na ohms ni kipimo katika SI kupima electrical resistance
View attachment 467629
Resistors
Resistor haina Polarity;Naombeni msaada kujua hasi na chanya kwenye kifaa kinachoitwa resistor na kujua utofauti wa Ohms tafadhali
Unatakiwa uwe na mchoro wa saketi yenyewe (na mchoro uwe rahisi). Pili unatakiwa kuorodhesha components/vifaa vinavyohitajika na uwezekano wa kuvipata. Pia kulinganisha na bajeti yakoSs mm nataka kujenga inverter ndo mana nauliza naomba msahada kuhusu vitu hivi kujua
Inaonekana ni saketi rahisi kiasi fulani. Ila hakikisha aliyekupa ameshaifanyia majaribio halisi na ikafanya kazi ili uwe na uhakika.