MSAADA; Kucopy content kwenye closed site Kama michuzi blog n.k

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Wakuu,

Msaada wa haraka Kama Uzi unavyo eleza.

Natanguliza shukrani.
 
Wakuu,

Msaada wa haraka Kama Uzi unavyo eleza.

Natanguliza shukrani.


Sio CLOSED SITE hiyo ni Copy Protected site . cha msingi hapo ni ku-Disable Javascript tu maana kinachofanya hiyo security ni javascript.

fungua Mozila
Pale kwenye address bar andika " about:config"
boyeza Enter,
accept the risk
upload_2017-2-5_21-46-53.png



kwenye search box, andika "javascript" halafu utauona huo mstari wa setting ya jscript.
double click huo mstari ulioandikwa "javascript enable"

pale kulia palipoandikwa true patabadilika kuwa false

sasa nenda kwenye page ambayo umeshindwa kukopi na REFRESH page
upload_2017-2-5_21-51-4.png
 
Am humbled kwa michango yenu, it all worked out.

Namaste
 
Ukitumia chrome haina njia ndefu just install "right to copy" hapo hata site iwe imefungwa vipi

NB: UWIZI MWIKO
 
Back
Top Bottom