kweli wewe kibao cha mbuzi.Kanunue
naomba kujuzwa ubora wa hizi tv za tcl naskia ni kampuni moja na hitach. ni nzuri kwakuitumia na haina matatizo? ahsante
mi pia naunga mkono hapaHazijafikia ubora wa Samsung wala lg TV ,, Graphics zake na display haina ubora kama wa Samsung au lg , ila Kwa matumizi ya kawaida ni Tv nzuri tu na gharama ni ndogo kidogo
hapana mkuu si sababu ya umaarufu.Kuna neno "kuteka soko" nahili ndo limefanya akina samsung, lg wafahamike sana. Jamani naomba mtembele maduka makubwa yanauza skrini, kuna skrini zenye ubora mkubwa wa HD, zinaonyesha vizuri kweli, sema hawa wengine hawajafahamika kweli nawambia
TCL smart TV ni nzuri sana hao wengine wanauzia brand tuWanatengeneza TV nzuri sana na wana ubia na Hitachi trust me coz nimeshawahi kutumia hiyo tv yao iko poa sana na ina warrant ya mwaka mzima, sijui samsung, sony au LG wanauza kutokana na brand tu, nilikuwa na smart tv ya Sony hata mwaka haikuchukua ikafa lkn nilivyochukua hii TCL imedumu huu unaenda mwaka wa pili na bei ilikuwa ni nusu niliyonunulia Sony
Inategemea na Model/ Toleo la TV ( LED,LCD, SMART TV ETC) hawana tofauti sana na STAR X. Ila wapo vizuri kuliko SINGSUNG na SANSANnaomba kujuzwa ubora wa hizi tv za tcl naskia ni kampuni moja na hitach. ni nzuri kwakuitumia na haina matatizo? ahsante