Nimepata barua yenye PIN za kufanyia account verification, na nimefanikiwa ku-verify account, sasa naomba kufahamu ni baada ya siku ngapi nitatumiwa hela ambazo zipo kwenye account yangu ya adsense,? pia njia ya malipo niliyochagua ni western union, je ni nini kitahitajika wakati wa kwenda kuchukua hayo malipo? lakini pia naomba kuuliza nikiasi gani ukitumiwa hutatakiwa kukichukua kwa mara moja?(yaani kinagawanywa na kutumwa kidogo kidogo?) maana nikimesikia kwamba kuna kiwango ukifikisha huruhusiwi kukichukua western union kwa mara moja.
Ahsanteni, natanguliza shukrani zangu.
Ahsanteni, natanguliza shukrani zangu.