MSAADA

MSAADA

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
6,651
Reaction score
8,699
Nahitaji kuhamisha line ya simu toka moja kwenda simu nyingine mpya,nahitaji kuhama na msg zote za simu A kwenda simu B.nini naweza fanya?maana kuna msg muhimu ktk maisha yangu nitazitumia siku za usoni
Mwenye utundu huu tafadhari anipe msaada
 
inategemaea akiili ya simu yako (aina ya simu) Tafadhali julisha aina ya simu
 
Brother unaweza Kudownload app Moja Hv inaitwa Go Sms Pro thn ukafanya Backup kutumia Hyo app bt unabd uwe na Memory card ya hata GB1
 
Back
Top Bottom