JINSI YA KUBADILI ROM(adroid version)

Hckcode8

JF-Expert Member
Apr 25, 2016
370
245
JINSI YA KU UPDATE ANDROID KITKAT
KWENDA LOLLIPOP
No Computer needed…..
Utangulizi:
Bado Teknologia inakua kila sekunde.. Yapo
Maboresho kila Nyanja hasa katika Mawasiliano kwa ujumla. Kompyuta na Simu za Mikononi
zimechukua nafasi kubwa katika Nyanja nzima
ya Mawasiliano.
Kampuni mbalimbali zakutengeneza simu nazo
kila nyakati zinajitahidi kutoa Matoleo mapya na
yalioboreshwa. Ipo mifumo (Operating Systems) mitatu inayofanya kazi katika Simu za
kisasa zijulikanazo kama ‘Smartphones’. Mifumo
ni Android, iOS na Windows phone. Upo
ushindani mkubwa kwa Watengenezaji wake
hali inayosababisha Uboreshaji kwa kila mfumo.
Binafsi napenda mifumo yote lakini mfumo wa Android ndio unatumika na watu wengi duniani
kwa sababu kuu zifuatazo;
(i) Simu zinazotumia mfumo huu zinauzwa kwa
Grarama ndogo zikilinganishwa na zinazotumia iOS na Windows phone.
(ii) Kuna zaidi ya Program 1.6 million
zinazofanya kazi kwenye mfumo huu amabazo
mtumiaji anaweza kuzitumia kwenye simu yake
kuendana na Mahitaji yake.
(
 
Nimekuja mbio mkuu kuangalia namna gani niapdate vodafone yangu!
kumbe hujataja njia hata moja
 
Back
Top Bottom