Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 34
Naombeni msaada wa kutengeneza vertical post kwenye website kwaanayefaha code zake asanteni
nimesoma w3school lakini sijaziona naomba uniambie nitapata wapi ili niisomeFanya homework acha mbwembwe
unatumia language ipNaombeni msaada wa kutengeneza vertical post kwenye website kwaanayefaha code zake asanteni
HTML na CSSunatumia language ip
Vertical post kivipi? Unataka CSS code za Layout tu au code za post kabisa. Unataka kuwa unaweka post manually au zionekane automatic kama kwenye blog?, kwanini hujafikiria kutumia WP?Naombeni msaada wa kutengeneza vertical post kwenye website kwaanayefaha code zake asanteni