Brother sijakupata Kidogo Ku qoute au ku reply mtu kwenye group?? nieleweshe KidogoHabari wakuu,
Nime install hii application ya GB Whatsapp lakini napata ugumu wa ku quote Ujumbe wa mtu binafsi katika group, tofaut na ile Whatsapp ya mwanzo niliyokuwa nnimezoea.
Kwa mwenye ujuzi wa hii kitu anijulishe
Unaweza Ku Customize the way unataka Bro kuna Features zipo Nying tu Unaweza Change Icon yako ya Whatsapp na EtcWakuu faida za hii gb whatsapp ni ipi. Na MI nataka nitumie Ila sielewi tofauti Yake
Anhaa na yenyewe si Apk app? Na je ni kweli unaweza kutumia namba hata tatu Kwa whatsapp mojaUnaweza Ku Customize the say unataka Bro kuna Features zipi Nying tu Unaweza Change Icon yako The uta Receive text en Many More
Hapana Bro hawezekan Bt nahs Unaweza UkaWa na Whatsapp GB unaweka Namba1 en whatsapp ya ku download play store unawe namba Nyingne thn ika Function.Anhaa na yenyewe si Apk app? Na je ni kweli unaweza kutumia namba hata tatu Kwa whatsapp moja
then try again maybe theme yako Ipo Kidogo tofaut en hyo Icon ya Ku reply ipo k design nyngne.Ni highlight maneno, ila hiyo arrow ulionielekeza ni ya kurudi sehemu uliyotoka sijaiona hiyo ya ku reply kama ile ya whatsapp ya kawaida
Hilight ujumbe unaotaka ku quote kisha click arrow ya kushoto juu ya whatsaap screen yako.
Ni highlight maneno, ila hiyo arrow ulionielekeza ni ya kurudi sehemu uliyotoka sijaiona hiyo ya ku reply kama ile ya whatsapp ya kawaida
Kuhighlight ili ureply usihold maneno. Instead hold kwene empty space pembeni ya sentensi inapoanzia
www.gbmods.comMwenye link ya GB watsp tafadhali naiomba
Ahsante mkuu