Malecela 4GB
Member
- Sep 4, 2016
- 33
- 14
Naomba msaada wadau....
Kila nikiupload video clips za mechi za ulaya haikai muda inakua blocked worldwide.
Tatizo ni nini? Maana unakuta watu wengi wameweka video hiyohiyo lakini mimi nikizidownload alaf niziupload zinagoma?
Nifanye nini ili izo copyright claims niziepuke?
Natanguliza shukrani za dhati