Wakuu nimetumia heat sink compound ambayo picha yake ipo hapa chini..lakini ps3 bado haijaacha kuoverheat,japokuwa kuna mabadiriko tofauti na mwanzo..sasa hv haizimi nikiweka maximum fan...
Habari wakuu,
Nime install hii application ya GB Whatsapp lakini napata ugumu wa ku quote Ujumbe wa mtu binafsi katika group, tofaut na ile Whatsapp ya mwanzo niliyokuwa nnimezoea.
Kwa mwenye...
JINSI YA KU UPDATE ANDROID KITKAT
KWENDA LOLLIPOP
No Computer needed…..
Utangulizi:
Bado Teknologia inakua kila sekunde.. Yapo
Maboresho kila Nyanja hasa katika Mawasiliano kwa ujumla. Kompyuta na...
Kwa kutumia hii app ni rahisi sana kuroot simu za android hii appinaitwa frame root
1.download hapa http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2784451&d=1402084843
2.fungua...
Naomba msaada wadau....
Kila nikiupload video clips za mechi za ulaya haikai muda inakua blocked worldwide.
Tatizo ni nini? Maana unakuta watu wengi wameweka video hiyohiyo lakini mimi...
Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii
<!DOCKTYPE...
Nahitaji kuhamisha line ya simu toka moja kwenda simu nyingine mpya,nahitaji kuhama na msg zote za simu A kwenda simu B.nini naweza fanya?maana kuna msg muhimu ktk maisha yangu nitazitumia siku za...
Nimepata barua yenye PIN za kufanyia account verification, na nimefanikiwa ku-verify account, sasa naomba kufahamu ni baada ya siku ngapi nitatumiwa hela ambazo zipo kwenye account yangu ya...
Aseee kuna huyu dada anaitwa fatma ana website tatu nazozifahamu
1: Ocean of games; hii ni kwa ajiri ya kila aina ya game na crack zake
2: get into pc; hii ni kwa ajiri ya app yoyote unayoitaji...
Baada ya simu yangu kusumbua kwa mda kwa kuzima au kugoma kila nikiingia fb, nimegundua tatizo ni kua app ya fb sa hivi new android version yake imekua 5.1, kwa hiyo kwa simu nyingi zenye chini ya...