Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji Huduma ya SEO Katika Wordpress kama wewe ni mtaalamu naomba uni PM ili tufanye kazi
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Helo wadau nimepita kkoo nimekutana na hizi decoder za kodtech...nimeambiwa zinatumia antenna na channel zake zinapatikana free bila kulipia. naomba wataalamu humu au waliowahi kuzitumia wanipe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba fail la simu hii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari,ninashida kidogo hapa na huawei y520-u22, tatizo ni kwamba nikiiwasha inaishia pale kwenye logo ya huawei na haifany chochote, nikijaribu kuhard reset kwa button combination inafika mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu yangu ni tecno M5, kabla haikua na tatizo hili la kugoma kuinstail au kuapdate app. Huwa inaniletea maneno hayo nikienda kwenye setting bado kuna nafasi GB za kutosha sijui tatizo ni nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni kujua Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka inauzwa bei gani !!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JINSI YA KU UPDATE ANDROID KITKAT KWENDA LOLLIPOP No Computer needed….. Utangulizi: Bado Teknologia inakua kila sekunde.. Yapo Maboresho kila Nyanja hasa katika Mawasiliano kwa ujumla. Kompyuta na...
3 Reactions
36 Replies
13K Views
Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina simu yangu huawei niliangusha Jana usiku, nimeamka asubuhi nzma, sasa hivi ghafla imejiweka mistari tatizo ni nin?na je itapona?
2 Reactions
36 Replies
8K Views
heshima kwenu wakuu!!! nimekwama mdogo wenu, naomba nisaidieni unlock code za huawei modem e303h-1yenye IMEI no 862565027553063 nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
810 Views
PRODUCT NAME : HP 250 G4 NOTEBOOK PC PROCESSOR : INTEL(R) CORE (TM) i3-5005U CPU @2.00GHz RAM : 8GB MEMORY : 1 TB Jamaa ananiambia hii laptop iko pouwa kwa games zote hata kama ni heavy,je ni...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hiyo ni Tecno W4 imefanyiwa hardreset baada ya kuwaka inaleta kama inavyoonekana kwenye picha. Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I know ihis might be old news to some but inorder to save my hard earned buck I considered the possibility of receiving the free channels accessible through the DSTV decoder... What was annoying...
1 Reactions
23 Replies
43K Views
Wakuu habarini .. nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active...
1 Reactions
4 Replies
921 Views
ungana na blogger mbalimbali kwa kudownload app ya tabasamu tz kutoka play store Tabasamu Tz - Android Apps on Google Play
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Wadau, Habarini za juma pili , msaada kile kidude cha kuingizia umeme mita hizi mpya toka juzi hakina network na umeme umeisha kwa yoyote mwenye kujua msaada jama
0 Reactions
17 Replies
3K Views
ndugu zangu wana JF kwa mtu anayefahamu site ya kudownload cracks hasa za antivirus anijulishe jamani nimekomaa nazo hii wiki ya pili sasa.. asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu za jion. jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka. inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE so ni ipi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kurekebisha hii rangi irudi kawaida S5
0 Reactions
6 Replies
954 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…