Msaada wajuzi wa JF, simu yangu inagoma kuinstail au kuapdate app

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,732
Simu yangu ni tecno M5, kabla haikua na tatizo hili la kugoma kuinstail au kuapdate app.
1472114490284.jpg

Huwa inaniletea maneno hayo nikienda kwenye setting bado kuna nafasi GB za kutosha sijui tatizo ni nini wakuu naomba kujuzwa.

1472114639322.jpg
 
RAM ni ngapi? Huenda tatizo ni RAM haitoshi. Nenda kwenye settings, applications, running applications. Utaona RAM ni ngapi na unaweza kudisable apps ambazo si za lazima. Kisha restart simu yako jaribu tena ku download.
 
Ram used ni 720, free ni 261 hapo imekaaje mkuu
 
Back
Top Bottom