Vingamuzi vya Kodthech

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,021
636
Helo wadau nimepita kkoo nimekutana na hizi decoder za kodtech...nimeambiwa zinatumia antenna na channel zake zinapatikana free bila kulipia. naomba wataalamu humu au waliowahi kuzitumia wanipe their experiences kabla zijafanya maamuzi ya kununua.
 
kwanza sio za uhakika, wanadandia minara ya Continental na Startimes na (TING kidogo). Mwanzoni hivyo ving'amuzi vlikuwa dili sana ulikuwa unaweza kupata channel zaidi ya 20 ikiwemo EMANUEL TV, ARRIRANG, NHK JAPAN, LOCAL CHANNELS zote. Lakini baada ya TV fulani fulani kufanya mabadiliko basi channel zimekata, zimebaki kama 4 tu.

Faida za Dekoda hizo za Kodtek na SANSAN
- zinazoma Harddisk hadi 1Tera
-Zinarekodi vizuri sana
-Zina output ya analog na HDMI
-Picha zake ni angavu.
 
Thanks Mkuu
 
ukiambiwa unapata chanell kwa antena inamaana ni terestrial, hizo ni chanell kama za startimes ya antenna zinapatikana kwa baadhi ya decoder na Tv zenye ving'amuzi.

kupata msaada zaidi inabidi ulete full model ya hio kodtech ili watu waangalie specs zake na kukuhakikishia kama ina hardware inayokubali kushika na antena tv za Tanzania
 
interesting mwenyewe nimezikuta zinauzwa online vp k,koo bei gani?
 
ukiambiwa unapata chanell kwa antena inamaana ni terestrial, hizo ni chanell kama za startimes ya antenna zinapatikana kwa baadhi ya decoder na Tv zenye ving'amuzi.

kupata msaada zaidi inabidi ulete full model ya hio kodtech ili watu waangalie specs zake na kukuhakikishia kama ina hardware inayokubali kushika na antena tv za Tanzania
Hata hakuna haja ya kuhangaika nazo. Hizo wamekopi decorder za Dvb T2 kama zile za continental. Kifupi ni kwamba dekoda zote zinazotegemea minara ya makampuni mengine hazina uhakika. Kwa mfano startimes wakiboresha security zao hizi dekoda zipo hatarini kwasababu hazina software updates wala customer support na nyingi hazina slot ya smart card. Hata zile tv zenye inbuilt dekoda nazo zinazingua sana.

Yote hii ni kwasababu kusimika mnara na kuutunza ni gharama so kudandia mnara for free ni kosa.
 
continental wanatumia minara? wale ni satelite unless wana huduma mpya.

na wakiacha wenyewe fta sio kosa, kama hawataki watu waone wangefunga kama azam

na decoder haiwi limited satelite moja kuna maelfu ya fta, decoder nyingi za terestrial zinakubali na dish
 
Continental wanatumia minara na Satelite. Wanavyo ving'amuzi vya terrestrial TT2 5173 (ndio walivyoanza navyo) na baadae wakaongeza dekoda za satellite . hivyo kwa sasa vyote vinafanya kazi.

Mimi ninacho cha continental cha terrestrial nilinunua siku nyingi sana mwaka 2013 december na ninacho hadi leo. Na pia ninacho king'amuzi cha SANSAN inayotumia firmware ya dekoda ya hiyo TT2 5173
5fa6e2c927571e4f3afd3f0edeac7651.jpg
 
inawezekana ila sijawahi kusikia,
 
kwanza sio za uhakika, wanadandia minara ya Continental na Startimes na (TING kidogo). Mwanzoni hivyo ving'amuzi vlikuwa dili sana ulikuwa unaweza kupata channel zaidi ya 20 ikiwemo EMANUEL TV, ARRIRANG, NHK JAPAN, LOCAL CHANNELS zote. Lakini baada ya TV fulani fulani kufanya mabadiliko basi channel zimekata, zimebaki kama 4 tu.

Faida za Dekoda hizo za Kodtek na SANSAN
- zinazoma Harddisk hadi 1Tera
-Zinarekodi vizuri sana
-Zina output ya analog na HDMI
-Picha zake ni angavu.
Yani kwa sifa hizo ni sawa na inbuilt decoder ya Lg flat screen inakamata channel hizo ina record vipindi unaweza pia pause au rewind kama hujasikia na picha zake ni wuality sana japo inatumia antena.
 
Back
Top Bottom