Msaada wa kuupdate window 7,

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
355
Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members
 
Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated..
Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia..
inabidi ifanyike fresh installation
 
Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated..
Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia..
inabidi ifanyike fresh installation
Asante kwa jibu lako, ila kuna program moja huwa ibatumika ila siikumbuki vizuri
 
Haijalishi uko wapi, tatizo hili haliwezi kutatuliwa hivihivi unless otherwise uwe unajua kupiga windows
 
Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members
hapo unamaanisha wallpaper imepotea?

ukicheki kwenye kona kulia chini kuna ka ujumbe kuhusu genuine !?

kuna njia kama tatu!
1 , kutumia software
2, ku unistall update fulani
3 , ku remove file fulani

embu nicheki 0743002239 nikusaidie huwa sifiki huku mara nyingi niko busy na kazi
 
ingia youtube kuna maelezo ya kutosha mkuu jinsi ya ku update window
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom