Nahitaji Huduma ya SEO Katika Wordpress anayeweza aniPM Tufanye kazi

bungala59

Member
Apr 9, 2016
28
3
Nahitaji Huduma ya SEO Katika Wordpress kama wewe ni mtaalamu naomba uni PM ili tufanye kazi
 
Kuna plugins nyingi za SEO lkn best ambayo me natumia kupata organic traffic na ku rank kwenye search engines kama google na yahoo ni Yoast na All pack seo....so kama uko interested na hizi mbili nicheck tuzungumze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom