ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Salamu zenu wataalamu
Ninaomba nisaidiwe hili nilikua natumia microsoft lumia na nikawa nahifadhi document kwenye one drive na kwakutumia email ya outlook kipind nikizihitaji hata kama nikireset simu nikirudisha account yang ya outlook tu one drives files zote zilikua zinatud kwenye simu automatic ..sasa nimebadili simu natumia samsung nezaje kuzitoa zile documents toka kwenye one drive kuzirudisha kwenye simu hii ya sasa?
Nawasilisha