Upi umuhimu wa sensor kwenye simu?

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
a945d51dcb65bc22bedc8213b5b82fd1.jpg


Naomba kujua sensor kwenye simu za Samsung zina kazi gani
 
Kaz nyingi tu kama unavyokuwa unaongea na simu umeiweka sikion alaf unaona kioo kinazima ili sikio lisije likafanya interaction na kuoo cha simu. Kucontrol mwanga kweny display mfano unaenda njee alaf unaona simu inajiongeza mwanga alafu ukikaa ndan inajipunguza mwanga ni kaz ya sensor
 
a945d51dcb65bc22bedc8213b5b82fd1.jpg
naomba kujua sensor kwenye simu za Samsung zina kazi gani
Kama davibby alivyosema baadhi ya sensors. Pia kuna sensor inayosaidia kutambua uelekeo wa wa simu ka umeilaza au umeisimamisha wima ili kioo kibadilike Landscape au Potrait. Pia kuna finger print sensor kwaajili ya security
 
Back
Top Bottom