mpaka kuwe na cm securuty app kwenye hiyo simu unayo itafuta tena ina mpiga na picha anapo jaribu kufungua patternHabari wana jamvi, naomba kufahamu namna ya ku track a stolen phone kama ina registration kwenye google kupitia gmail account na IMEI namba yake
Natanguliza shukurani kwa watakao changia positively
sio lazima Cm security app kuna apps mbalimbali za maswala ya security kama Norton mobile security na avast security app.mpaka kuwe na cm securuty app kwenye hiyo simu unayo itafuta tena ina mpiga na picha anapo jaribu kufungua pattern
Ngoja wenye ujuzi zaidi waje kukusaidia ila kama haukuinstall au haukuiregester simu yako na security app yoyote kama android lost na nilizotaja hapo juu itakuwa vigumu kuipata sidhani kama gmail ni ya muhimu sana maana akiifanyi factoy restore inafutikaHabari wana jamvi, naomba kufahamu namna ya ku track a stolen phone kama ina registration kwenye google kupitia gmail account na IMEI namba yake
Natanguliza shukurani kwa watakao changia positively
Ngoja wenye ujuzi zaidi waje kukusaidia ila kama haukuinstall au haukuiregester simu yako na security app yoyote kama android lost na nilizotaja hapo juu itakuwa vigumu kuipata sidhani kama gmail ni ya muhimu sana maana akiifanyi factoy restore inafutika
.
.
.
Cha kukushauri Jaribu kuenda kituo cha polisi na documents zako waeleze watakusaidia maana wengi wamefanikiwa kwa njia hiyo japo kuna kuzungushwa.
.
next tafuta android lost app ni mwisho wa matatizo
Android Device Manager
Fwata maelekezo
najua ziko nyingi nilikuwa namjuza kwamba ili aipate lazima ndani kuwe na app km hizosio lazima Cm security app kuna apps mbalimbali za maswala ya security kama Norton mobile security na avast security app.
zote zinafanya kazi moja