Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wataalam mniambie Hali ya simu kujizima zima pindi unapopiga ,natumia VIWA A4 yani imeanza tatizo la kujizima kila nikitaka kupiga mpaka natamani kuipasua hii simu,Kuna wakati inatulia na kuna wakati tatizo linaanza tena naombeni solution la hii hali