Usitumii Window 8.1 ni cm nyingi tumia Window ya 1.0 inaweza ikakubaliNatumia nokia 625 juzi nilireset nilipojaribu kudownload apps inaandika error occur nimekuja kugundua inataka ni update to window 8.1 lakn inanitaka niunganishe na wifi
je nifanyaje ili niweze ku update hii simu
UmefanyajeNashukuru mkuu nimefanikiwa
Kariakoo jombaaAnyone with idea of where I can find android phone that is relevantly cheap?
Brand gani iko poa kwa sasa? Nasikia kuna jamaa wanaitwa ulefone wana android phones matata. Betri 6000mah. ukichaji leo unachaji tena jumamosi. dadeqKariakoo jombaa