PS3 au PC ipi Unaikubali (kwa kipato cha kati)

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,482
887
Wakuu nyinyi mnaikubali mashine ipi kati ya ps3 au pc kwa gaming
kwa mimi binafsi naikubali pc kwa high end ps3 medium end
ukiangali games nyingi zikitoka kwa pc kwa ps3 hazikosi
sasa kiujumla wewe kama unaikubali ipi?
 
ps4 au xbox one ndio habari ya mjini..

kuna game exclusive for ps3 only ambazo pc hakuna..

mfano God of war series...
Ndio ps4 na xbox one ndio habari ya mjini but upatikanaji wa magemu yake ndio kazi ukitofautisha na ps3 ambayo utaweza kiijailbreak na kudownload games free.
 
pc ndo mpango mzima kwanza games unazipata kwa gharama ya bando tu, sio hizo ps bei ya cd tu ya game mtihani.
 
Mkuu now days ps3 unaweza kuijailbreak na kuweza kudownload games bure kama pc
na kucheza bila cd.
Tatizo inakuwa inakulimit kwenye graphic, na kama game likiwa la PS 4 INA mana huwez cheza kwenye ps3, tofauti na PC game lolote likitoka kama PC yako haimeet minimum requirements, unaweza kuiupgrade tu PC, mzigo unapiga kazi.
 
ps4 au xbox one ndio habari ya mjini..

kuna game exclusive for ps3 only ambazo pc hakuna..

mfano God of war series...
Mkuu Pc kwa gemu ndiyo safi. Uzuri wa Pc ni kwamba waweza kucheza gemu nyingi na muda mrefu ukapita bila kubadilisha hardware na kama ipo vizuri utacheza gemu zaidi ya 60 fps na resolutions kubwa(hadi 4k). Ingawa Pc nzuri ni gharama. Enthusists wa gemu hawachezi kwa xbox na Ps bali PC pekee.
 
by far pc ni nzuri mfano kuna emulator za
-gamecube
-nintendo wii
-playstation 2
-xbox ya kwanza
-nintendo D's
-psp
-nintendo 3ds etc huwezi pata mambo hayo kwenye console

na kwenye pc kuna games nyingi sana hazipatikani kwenye console, mfano multiplayer design ya league of legends na wow kwa miaka mingi yanapatikana kwenye pc tu.

pia ukitaka kumod games, cheat za hapa na pale pc ni rahisi sana
 
Tatizo inakuwa inakulimit kwenye graphic, na kama game likiwa la PS 4 INA mana huwez cheza kwenye ps3, tofauti na PC game lolote likitoka kama PC yako haimeet minimum requirements, unaweza kuiupgrade tu PC, mzigo unapiga kazi.
mkuu kwenye pc bei ya gpu tu unaweza pata ps3 hivyo basi pc kali ya gaming itakucost s
 
by far pc ni nzuri mfano kuna emulator za
-gamecube
-nintendo wii
-playstation 2
-xbox ya kwanza
-nintendo D's
-psp
-nintendo 3ds etc huwezi pata mambo hayo kwenye console

na kwenye pc kuna games nyingi sana hazipatikani kwenye console, mfano multiplayer design ya league of legends na wow kwa miaka mingi yanapatikana kwenye pc tu.

pia ukitaka kumod games, cheat za hapa na pale pc ni rahisi sana
ndio mkuu kwa pc utaweza umulate console zote hizo but inahitaji gpu nzuri ambayo itakucost kwakiasi flani.
lakini kumbuka pia waweza cheza games za ps2 ktk ps3
 
ndio mkuu kwa pc utaweza umulate console zote hizo but inahitaji gpu nzuri ambayo itakucost kwakiasi flani.
lakini kumbuka pia waweza cheza games za ps2 ktk ps3
huhitaji gpu nzuri unahitaji tu cpu yenye single thread perfomance kubwa, emulator zote hapo juu nimecheza na desktop ya core 2 duo isio na gpu ambayo unaipata kirahisi chini ya 150,000.

na utaweza ku emulate ps2 kwenye ps3 sababu zote ni sony ila ukija gamecube, nintendo wii, xbox na wengine utashindwa.
 
Uzuri wa Pc ni ule u potable wake
Rahisi zaidi kupata gemu za magumashi
Cheats za kumwaga

Uzuri wa console una enjoy zaidi game kulingana na ukubwa screen unayotumia
 
Uzuri wa Pc ni ule u potable wake
Rahisi zaidi kupata gemu za magumashi
Cheats za kumwaga

Uzuri wa console una enjoy zaidi game kulingana na ukubwa screen unayotumia
mkuu console almost games zote ni 720p na ukikuta game ni 1080p basi sio native wameli upscale. games chache sana za console zinakuwa na resolution kubwa.

hivyo ukiwa na tv yako lets say ya 4k au ultra HD console ni Big no na pc ndio mpango mzima.

pc ina advantage kwenye kila aina ya screen na sio console
 
Uzuri wa Pc ni ule u potable wake
Rahisi zaidi kupata gemu za magumashi
Cheats za kumwaga

Uzuri wa console una enjoy zaidi game kulingana na ukubwa screen unayotumia
Na Siku hizi mkuu sisi wa pc wengi hatutumii monitor, wengi tunatumia flat TV, unaenjoi game kulingana na ukubwa wa TV yako.
 
Back
Top Bottom