Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleza Naomba kujua namna ya kutengeneza app yoyote na nitapata faida gani nikitengeneza na njia za kufuata ili niitengeneze Kwa anaejua anisaidie wale walosoma deep ama...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Nani anisaidie programu ambayo inaweza kuonyesha taarifa ya simu kuanzia inawekewa line kwa mara ya kwanza na idadi ya chip zilizoingia kwenye hyo simu!!
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Habari za jumapili wadau,Naomba niuliuze kitu kinachooneka hapa chini kwenye screenshot uwa ni setting au ni simu yenyewe,ukiangalia kwa juu kwenye notification bar mshale umelekeza (0.57 K/s)
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wana jf, Kuna rafiki yangu anatumia simu ya iphone 6 aliletewa na kaka yake na pia kaka yake huyo ndio alimuunganisha simu yake na email yake, sasa rafki yangu kachezea simu yake, sasa...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Yeyote anayejua link ya ku download huawei e153u-2 naomba msaada.
1 Reactions
8 Replies
9K Views
nimefanikiwa ku unlock modem nyingi tu kwa kutumia unlockers mbalimbali, sasa wanajamvi kama kuna mtu yoyote yule kafanikiwa kwenye hii model hiii...pliz tupeane kaujuzi kidgo wajameni....lah!
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Nani anambie kitu hiki ukinunua phone kwa mtu na ukataka kutambua chipu ya kwanza kuingia kwenye hyo simu, nifanyeje? Je, simu ipi ni nzuri kati ya phantom6 na j7 galaxy? Progamu gani ni super...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu.. nime download euro truck simulator 2 ila sina keys za ku activate.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nina shida ya setup ya euro truck simulator 2, kama mnavyojua size yake kuidownload ni almost 2GB na network system ya bongo ni mbovu...so guys plz naombeni msaada wenu hata anichek...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I need ur help,I want an application ambayo itanieleza each combination and it job au ht link yyt popote pale nataka nije tu ,au if km kuna person anaweza kunieleza uhakika pls help , Each...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Wana bodi, Kwa masikitiko makubwa, nimeshitushwa na simu za halotel H6302 ambazo zinauzwa na halotel na mawakala wao nchini. Simu hizi kwa kuwa ni brand ya halotel, nilitarajia zitakuwa...
0 Reactions
68 Replies
22K Views
Mtandao wa Yahoo kwa mara nyingine tena umetangaza kwa wateja wake kuwa huwenda akaunti zao zikawa haziko salama kutokana na kugundulika kwa udukuzi mwingine uliofanyika kati ya kipindi cha mwaka...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum. Flash yangu aina ya ADATA kila nikiiweka kwenye inaniambia iko write protected so siwez format, weka kitu kipya.. Msaada please kwa alie na ujuzi jinsi ya kuondoa hiyo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu ninashida na camera ya simu yang imeleta shida ya ghafla nikiingia na kutaka kupiga picha ina stack na kuleta message "media server failed. Camera needs restart" nimejaribu Clear caches...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
wakuu salaam, natumai wote tu wazima wa afya...nina printer yangu moja EPISON L805..ilikua haiwi detected na computer...ilikufa ghafla tu...akaja fundi mmoja tapeli akaniambia kadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina laptop hp. imekuja na OS Win 7 ninatamani kutumia OS win10. Niliipakua win10. Ninaomba product key. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Napenda kuuliza kwa hapa dar nitapata chuo gani kinatoa mafunzo ya kupambana ba wizi wa kimtandao maana nimesoma computer sasa napenda ku specilaz huko
0 Reactions
5 Replies
1K Views
You've been waiting long enough!.. E153u-1, E153u-2, E173u-1, E173u-2 unlock is ready!!!!!!!! Dear Associates, pleased to announce that i now can unlock all huawei customised firmware E153u-1...
2 Reactions
87 Replies
33K Views
Msaada tafadhali, Kuna mtu kanunua kifurushi cha Star Times baada ya kuingiza vocha kinaonesha smart card error ndo nini? Na tufanye nini kioneshe?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani wana JF habari za kazi...mimi nimekuja kuuliza ni kwa namna gani naweza fungua site kwenye PC yangu zilizofungwa mfano FB.JF.IG.TW.N.K............. Maana mke wangu ameniblock kuingia...
9 Reactions
162 Replies
14K Views
Back
Top Bottom