frank nyantu2
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 298
- 162
Mara nyingi simu yangu app zake huwa zinaandika has stopped eg; Facebook has stopped! Au system has stopped hii imekaaje?
Gb 4 na memory card GB 8 mkuu;Simu yako ina internal memory kias gani?