Wadogo habari zenu wakubwa shikamooni.
Mimi ni mwanafunzi wa it naomba mwenye idea yoyote ya information system ambayo haijatrngenezwa nataka ni develop program yoyote kama practical project ya...
Give your Android smartphone the reason why it should be called ANDROID
Make your phone more Fancy, Classic and Unique
How to change Notification bar colour
Have a glance on how to do it
How...
(nilkuwa naingia youtube) hiyo screenshort inasema
500 Internal Server error
Sorry, something went wrong
A team of highly trained monkeys has been dispatched to deal with this situation
If you...
Habari wana jamii forums,
Hilo ni swali gumu kwa bloggers ambao ndio wanaanza.Unaweza kuuliza na kupata ushauri kwa watu lakini ushauri huo usikusaidie.Leo tuchambue jambo moja tu ,,,kuhusu...
Uwezo mkubwa wa kuona umekuwa ukifananishwa na JICHO la TAI lenye sifa za kipekee.
Katika maendeleo ya Technolojia sasa Imevumbuliwa Camera ndogo zaidi sio tu zaidi ya mbegu ya mchicha bali zaidi...
Nina deki yangu aina ya singsung ..imeanza tatzo nikiweka cd nyingine zinasoma zingine hazisomi inaandika stop nkplay tena inaandika stop.. Mda mwngne znasoma ila inaandika unsupported format...
Mie n kijana. Naifaham computer kwa matumizi ya kawaida.. Napnda sana kupata mafunzo ya technlogia ya kupambana na wizi wa mitandao.. Je kwa hapa tanzania especially dar nitapata wapi hio course
Habari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu...
Habari wana TGS/JF,
Nimepata taarifa kutoka ndani TCRA kwamba kuanzia mwezi june 2015 kutakuwa hakuna haja ya kubeba line tatu hadi nne za simu za mikononi kwani suluhisho limepatikana. Unakuwa...
Heshima yenu wakuu,
Kama nilivyo jieleza hapo juu naomba mwenye uelewa juu ya kublock sms za magroup watsaapp maana imekuwa kero sihitaji kuleft nia nikihitaji niwe naruhusu group moja moja...
Habari wadau!
Huu mfumo wa TRCA ambao wanadai mtu ataweza kuhama kutoka mtandao 1 kwenda mwingine nauona ni mfumo ambao hautufai kabisa na una mapungufu. Nimemsikia mtu 1 kutoka TCRA redion...
wakuu ninatumia umeme wa sola kwa ajili ya umeme wa nyumbani, kwakuwa panel zangu ni za volt 24, na inverter ni ya volt 12, huwa kila siku asubuhi nina charge betri kwa mfumo wa volt 24(nina betri...
Kumekuwako na ongezeko la mahitaji ya mitambo maalumu ya kuzuia wezi ya CCTV siku za hivi karibuni kutokana na ukweli kwamba kumekuwa na ongezeko la watu wasio waaminifu katika jamii
CCTV ni mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.