Tatizo la network kwenye tecno w3

mshalalu

Member
Feb 27, 2017
5
1
simu yangu tecno w3 inakuwa na kifurushi cha kutosha kabisa lakini msg za whatsapp hazifunguki lakini nukiunganishwa kwa WIFI zinaanza kufunguka. naombeni msaada
 
Maybe ni sehem uliyopo au hukuunganishiwa vzur mim natumia w3 mbona network ipo vzur sana
 
simu yangu tecno w3 inakuwa na kifurushi cha kutosha kabisa lakini msg za whatsapp hazifunguki lakini nukiunganishwa kwa WIFI zinaanza kufunguka. naombeni msaada
Kuna Kingine Kinachofunguka Kwa Data Ukiacha Whatsap? Na Setting Za Internet Zipo Sawa?? Kama Hakuna Kinachofunguka, Cheki Setting Za Internet.
 
Back
Top Bottom