MSAADA

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,834
1,055
wandugu naomba msaada nilidondosha sm yangu smart phone mm n miongon mwa watu wanaosev majina katika email adress tatizo limekuja sm yangu sikua nimeiweka patern wala password aliyeokota anafanya kaz ya kufuta majina kila nikiweka na nashindwa kufanya lolote nimeshamtumia email aache lakin hakom na nshapoteza majina kibao nifanye Nn
 
Kuna vitu viwili unaweza kufanya kwaza ripoti police ,pili jaribu kubaridisha password haraka iwezekanavyo kama hajafanya hivyo.
 
wandugu naomba msaada nilidondosha sm yangu smart phone mm n miongon mwa watu wanaosev majina katika email adress tatizo limekuja sm yangu sikua nimeiweka patern wala password aliyeokota anafanya kaz ya kufuta majina kila nikiweka na nashindwa kufanya lolote nimeshamtumia email aache lakin hakom na nshapoteza majina kibao nifanye Nn

Mkuu fanya ku change password tu hamna namna hapo.
 
Hata ukichange password haitasaidia Mkuu, labda u backup contacts zako zote kwenye email nyngne halaf uendelee kutumia hyo mpya Mpaka atakapoacha kuitumia email yako.
 
Ingia gmail kwenye PC click profile picha yako ambayo iko kulia juu kabisa, click My Account, click Device activity & notifications, utaona list ya Recently used devices, click review devices, click device unayotaka kuiondoa , click REMOVE.

Pia nakushauri ubadili password zote zikiwemo za service nyingine lizotumia gmail kujiandikisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom