Ndugu desktop yako Ina uwezo mdogo sana ongeza ram angalau 2au4au 6 GB n.k pia hdd walau 320 GB n.k hapo utaplay game za kawaida ukitaka game kubwa kama FIFA na nyinginezo unaitaji graphic card nzuri kwa Intel isipungue 1.5au2gb mengine wakuu watashusha hapa kuwa mvumilivuhabari zenu wakuu,
kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa,
computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40,
nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo ni nini,
naomba msaada kwa hilo.
nashukuru mkuu,Ndugu desktop yako Ina uwezo mdogo sana ongeza ram angalau 2au4au 6 GB n.k pia hdd walau 320 GB n.k hapo utaplay game za kawaida ukitaka game kubwa kama FIFA na nyinginezo unaitaji graphic card nzuri kwa Intel isipungue 1.5au2gb mengine wakuu watashusha hapa kuwa mvumilivu
we jamaa me imebidi nicheke kwanza we ram 1 gb unataka ucheze gemu gani sasa?????habari zenu wakuu,
kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa,
computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40,
nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo ni nini,
naomba msaada kwa hilo.
nashukuru sana,processor yako aina gani, afu gemu gani mfano limegoma. mana kama ni zile gemu za miaka ya 2003 kushuka chini nadhani huwa hazina shida sana