Tusaidiane matumizi ya adsense kupitia blog

Dom_king

Member
Feb 28, 2017
7
0
Wakuu wa kazi kijana mwenzenu nipo mbele yenu naomba mnisaidia jinsi ya kapata pesa kupitia blog maana nina kablog changu nimekaanzisha https:/sharifudon.blogspot.com
 
Wakuu wa kazi kijana mwenzenu nipo mbele yenu naomba mnisaidia jinsi ya kapata pesa kupitia blog maana nina kablog changu nimekaanzisha https:/sharifudon.blogspot.com
Kijana mbona unapenda sana pesa mapema, hebu andika makala "quality contents" kama miaka 2, then blog yako ikianza kupata watembeleaji kuanzia 1000, nunua Domain ndo uanze kuulizia mambo ya pesa
 
Kaka blog ina watembeleaji 2000 kwa siku na hata ivyo ina muda wa miez 6 domina naona silazima sana mbona kuna blog nyingi hazina hata domina na zi matangazo kama issamichuzi.blog
 
Back
Top Bottom