Msaada: Kupanga channnel za azam utakavyo

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,218
687
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,

Naomba Kusaidiwa Kupanga Channel Kwa Jinsi Upendavyo Kwenye King'amuzi cha Azam, Mf. Kwenye Madishi Makubwa Nilikua Nimepanga Channel ya Kwanza1. ITV, 2.TBC, 3.STAR TV, 4.CHANNEL 10, 5.CHANNEL 5 etc,, Ukizima Tv ukiwasha channel zinakaa ivoivo,

Kwa nini Azam Hata Upangeje Ukiwasha lazima ianze na Azam One? Naomba Msaada Ukiachilia mbali Utaratibu wa Fav Channel
 
Tumia njia ya kuchagua favourite channels unazipanga utakavyo hivyo ukiwasha TV yako ikiwaka baada ya Azam TV channels->other TV channels then FAV channels
 
Tumia njia ya kuchagua favourite channels unazipanga utakavyo hivyo ukiwasha TV yako ikiwaka baada ya Azam TV channels->other TV channels then FAV channels
Hii ndio siitaki, nataka ukiwasha ianze na ule mpangilio wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom